Yanga na Simba

Yanga na Simba смотреть последние обновления за сегодня на .

Yanga 2-1 Simba | Highlights | Ngao ya Jamii 13/08/2022

2275033
9842
1337
00:23:51
13.08.2022

KARIAKOO DERBY: Yanga wametwaa #NgaoYajamii kwa mara ya pili mfululizo wakiwafunga Simba kwenye #KariakooDerby iliyopigwa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli yote mawili ya Yanga yamefungwa na Fiston Mayele dakika ya 50 na 81 baada ya Simba kutangulia kwa goli la Pape Ousman Sakho. Haya hapa magoli yote....

Yanga SC 1 - 0 Simba SC | Highlights | Azam Sports Federation Cup 28/05/2022

1123264
4553
458
00:22:55
28.05.2022

Hekaheka za mtanange wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC iliyopigwa CCM Kirumba jijini Mwanza. Bao la Feisal Salum "Fei Toto" likiipa Yanga SC tiketi ya kucheza fainali jijini Arusha dhidi ya mshindi kati ya Azam FC dhidi ya Coastal Union.

YANGA vs SIMBA | Fahamu chimbuko la upinzani wa jadi kati ya Simba na Yanga

3480
48
5
00:08:18
05.10.2022

HAINA MBAMBAMBA: Fahamu chimbuko la upinzani wa jadi kati ya Yanga na Simba, pamoja na historia ya uanzishwaji wake. #HainaMbambamba #KariakooDerby #SimbaVsYanga #WataniWaJadi

Magoli | Yanga 2-1 Simba | Ngao ya Jamii 13/08/2022

905245
4153
466
00:04:32
13.08.2022

KARIAKOO DERBY: Yanga wametwaa #NgaoYajamii kwa mara ya pili mfululizo wakiwafunga Simba kwenye #KariakooDerby iliyopigwa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli yote mawili ya Yanga yamefungwa na Fiston Mayele dakika ya 50 na 81 baada ya Simba kutangulia kwa goli la Pape Ousman Sakho. Haya hapa magoli yote....

Simba SC 0-1 Yanga SC | Full Highlights | Ngao ya Jamii 25/09/2021

1422642
4372
538
00:25:55
25.09.2021

SIMBA VS YANGA: Yanga wameshinda taji la Ngao ya Jamii kwa kuwatandika watani zao Simba bao 1-0 katika mchezo uliopigwa hivi punde kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Goli pekee la Yanga limefungwa na Fiston Mayele dakika ya 12. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

𝗛𝗜𝗚𝗛𝗟𝗜𝗚𝗛𝗧𝗦 | Young Africans SC Vs Simba SC

931819
2079
92
00:03:30
01.05.2022

#theclubaboveall #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko

Yanga SC 0-0 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 30/04/2022

695469
3028
383
00:19:24
30.04.2022

KARIAKOO DERBY: Kwa mara ya pili msimu huukwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara, derby ya Kariakoo, Yanga na Simba inamalizika bila goli lolote kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Licha ya kutokuwepo mabao.... ilikuwa ni mechi dume .... Tazama highlights uone baadhi ya matukio muhimu yaliyojiri kwenye mchezo huo.

Simba vs Yanga (4-1): Highlights 2, magoli yote yamo - Nusu fainali ASFC 12/07/2020

3086992
6942
655
00:14:59
13.07.2020

SIMBA 4-1 YANGA: Hivi ndivyo Simba ilivyoichapa Yanga magoli 4-1 katika mchezo wa nusu fainali Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Wafungaji wa magoli ya Simba ni Gerson Fraga, Clatous Chama, Luis Miquissone na Mzamiru Yassin Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► 🤍 Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

Highlights | Simba SC 0-1 Yanga SC | VPL 03/07/2021

1531908
3967
588
00:27:41
03.07.2021

Mabingwa wa Kihistoria wa ligi kuu Tanzania Bara, Yanga SC wamewatandika watani wao wa jadi Simba bao 1-0 katika #KariakooDerby iliyopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Goli pekee la mchezo huo limefungwa na kiungo Zawadi Mauya, dakika ya 12 Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

Highlights: Yanga na Simba wapiga soka la kiume na kutoka sare ya 1-1 (VPL 07/11/2020)

2549841
5356
892
00:25:21
07.11.2020

YANGA 1-1 SIMBA: Watani wa Jadi katika soka la Tanzania, Yanga na Simba leo wametoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara (VPL) uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli yamefungwa na Michael Sarpong na Joash Onyango. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► 🤍 Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

Angalia jinsi Simba na Yanga walivyotoana jasho kupata 2-2

3211355
6562
610
00:41:57
04.01.2020

Highlights za mechi VPL kati ya Simba na Yanga iliyochezwa tarehe 04/01/2020 Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam. #KariakooDerby #DarDerby #SimbaYanga #SimbaVSYanga #SimbaSC #YangaSC #UwanjaWaTaifa #BalamaMapinduzi #MeddieKagere #MohammedBanka #MoBanka

Goli pekee la Yanga | Simba 0-1 Yanga | Ngao ya Jamii 25/09/2021

1311777
3303
295
00:01:32
25.09.2021

Yanga wameshinda taji la Ngao ya Jamii kwa kuwatandika watani zao Simba bao 1-0 katika mchezo uliopigwa hivi punde kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Goli pekee la Yanga limefungwa na Fiston Mayele dakika ya 12. Kinachoendelea muda huu ni sherehe za mabingwa wapya Yanga kukabidhiwa taji lao Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

#LIVE YANGA NA SIMBA SENGA NA MASHABIKI WA YANGA MAYELE UTACHEKA UFEE ANDAENDI MACHELA ZA KUTOSHA🤣🤣

84348
363
25
00:08:21
13.08.2022

#Michezo#live#updates#Kubwakuliko#mbengo#kingwendu#senga#chachandu

Yanga 2-1 Simba | Magoli yote kwa lugha ya Kiingereza | Ngao ya Jamii 13/08/2022

268912
1227
104
00:05:41
14.08.2022

KARIAKOO DERBY: Haya hapa magoli yote matatu kama yalivyotangazwa kwa lugha ya Kiingereza na Peter Otai. Ni mechi ya #NgaoYaJamii2022 iliyopigwa Agosti 13, na Yanga kuichapa Simba 2-1 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.

Magoli yote manne yalivyofungwa katika mpambano mkali wa Simba na Yanga

3263399
6335
631
00:06:27
04.01.2020

Simba walitangulia kufunga magoli lakini walishindwa kuwazuia mahasimu wao Yanga wasikomboe magoli mawili. Jionee mwenyewe mechi hii ya Vodacom Premier League iliyokuwa na ushindani mkali.

Yanga ilivyoichapa Simba 1-0 mbele ya Rais Magufuli

5214652
10660
1175
00:26:37
08.03.2020

Mabingwa wa kihistoria wa Tanzania Bara, Yanga SC wamekataa unyonge kwa kumchapa mpinzani wao wa jadi Simba bao 1-0 kwenye Uwanja wa Taifa, bao pekee likifungwa na Bernard Morrison kutoka Ghana kwa free-kick. Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli alikuwepo uwanjani. #WataniWaJadi #YangaSimba #YangaVsSimba #DarDerby #KariakooDerby #BenMorrison #BernardMorrisonYanga #MorrisonYanga #GoliMorrison # Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► 🤍 Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

Simba SC 0-0 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 11/12/2021

1150571
4170
416
00:19:07
11.12.2021

Watani wa Jadi, Simba na Yanga wamemaliza ‘derby’ yao bila mshindi wakitoka sare ya bila kufungana katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Huu ni mkusanyiko wa matukio yote muhimu kutoka kwenye mechi hiyo ya kiume.

Tazama Yanga walivyowachezea Simba soka la kitabuni | Ngao ya Jamii 25/09/2021

1200271
3008
261
00:05:31
26.09.2021

SIMBA 0-1 YANGA: Ukisikia kuna watu waliupiga mwingi, hii ndiyo maana yake. Kuna wakati ilipikwa ‘biriani’, zikapigwa ‘sambusa’, boli likagongwa moja moja lakini mabeki wakafanya kazi yao. Hebu pata burudani kidogo. Je, hili ‘pira’ tulipe jina gani? #NgaoYaJamii2021 Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

DAKIKA 90 | Uchambuzi Simba na Yanga wafanye nini kuelekea michezo ya CAFCL

3192
27
7
01:28:38
04.10.2022

Dakika 90 ikiwa imesheheni uchambuzi wa masuala ya kandanda na kubwa zaidi ikiwa ni habari za Ligi Kuu ya NBC na maandalizi ya Simba , Yanga na Azam FC kuelekea mechi za kimataifa wiki hii. Nini wafanye ili wapate ushindi na kufuzu hatua nyingine.

KINGWENDU NA MAYELE USO KWA USO (SIMBA NA YANGA)

269729
1424
70
00:05:57
20.08.2022

KINGWENDU NA MAYELE USO KWA USO (SIMBA NA YANGA) FOR MORE INTERTAINEMT CLICK THIS LINK =) 🤍 #mayele #kingwendu #simba #yanga #simbanayanga #wataniwajadi #mletemzungu #swahilicomedy #kwamkapa FOR MORE INTERTAINEMT CLICK THIS LINK =) 🤍

JEMEDARI alipuka kufungiwa ZAKA zakazi awagusa YANGA na SIMBA kwa wasemaji wao "wanajua kanuni ila."

5492
24
9
00:08:16
06.10.2022

#simbasctanzania #zakazakazi #htmnews #simbasc #hajimanara #yanga #sports #wasafimedia #cloudsmedia #millardayo #subscribe kwa taarifa nyingi zaidi

GOLI LA FEISAL YANGA 1 - 0 SIMBA , UWANJA WA CCM KIRUMBA MWANZA

131541
257
12
00:01:29
28.05.2022

GOLI LA FEISAL YANGA 1 - 0 SIMBA , UWANJA WA CCM KIRUMBA MWANZA

Penati zote Yanga ikiifumua Simba na kubeba Mapinduzi Cup - 13/01/2021

1419229
3605
456
00:06:42
13.01.2021

Tazama mikwaju ya penati wakati Yanga ikiichapa Simba kwa mikwaju ya penati 4-3 na kubeba taji la Kombe la Mapinduzi 2021. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

Yanga 2-2 Azam | Highlights | NBC Premier League 06/09/2022

324181
1611
226
00:22:09
06.09.2022

Derby ya Dar es Salaam kati ya Yanga vs Azam FC imemalizika kwa sare ya mabao 2-2 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, katika mechi kali na tamu ya ligi kuu ya NBC Tanzania Bara #NBCPremierLeague Magoli ya Azam FC yametoka kwa Daniel Amoah dakika ya 25, na malickou Ndoye dakika ya 65 wakati Yanga ikijipatia magoli yote mawili kutoka kwa Feisal Salum dakika ya 57 na 77. Katika mechi hiyo pia Yanga imepoteza nafasi ya goli kwa kukosa penati dakika ya 69.

🔴#Live: MASTAA YANGA WAWEKEWA MIL 300 WAWAUE AL HILAL, SIMBA WAKODI NDEGE KUTUA ANGOLA KIBABE,,,

3861
25
1
01:22:41
06.10.2022

🔴#Live: MASTAA YANGA WAWEKEWA MIL 300 WAWAUE AL HILAL, SIMBA WAKODI NDEGE KUTUA ANGOLA KIBABE | KROSI DONGO Karibu kutazama kipindi cha KROSI DONGO upate habari zote muhimu za michezo kutoka ndani na nje ya Tanzania. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

NANI ZAIDI? | Yaliyojiri katika mkutano wa Simba na Yanga - 02/06/2022

41220
275
67
00:41:03
02.06.2022

Tazama hapa yote yaliyojiri katika mkutano na waandishi wa habari kuelekea kumjua nani zaidi kati ya Simba au Yanga.

Simba 4-1 Yanga | Magoli yote, nusu fainali ASFC

2210692
6958
1003
00:07:55
12.07.2020

Simba imeichapa Yanga magoli 4-1 katika mchezo wa nusu fainali Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) uliochezwa leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Gerson Fraga, Clatous Chama, Luis Miquissone na Mzamiru Yassin, huku Feisal 'FeiToto" Abdallah akiwapatia Yanga goli la kufutia jasho. Haya hapa magoli yote - 12/07/2020. #wataniwajadi #simbayanga #simbachama #chamasimba Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► 🤍 Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

SIMBA 0-4 YANGA MANARA AISHIWA POZ

23917
59
3
00:01:57
29.05.2020

#simba #yanga #fifatanzania

🔴#Live: YANGA vs SIMBA ( 2 - 1 ) - DERBY YA KARIAKOO, NGAO YA HISANI, UWANJA WA MKAPA..

332967
983
22
02:14:31
13.08.2022

🔴#Live: YANGA vs SIMBA ( 2 - 1 ) - DERBY YA KARIAKOO, NGAO YA HISANI, UWANJA WA MKAPA.. NI Dakika 90 za mtanange wa kukata na shoka kati ya Yanga vs Simba, katika dimba la Mkapa wakiwania kombe la ngao ya jamii,... ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

#FT :SIMBA 4-1 YANGA Magoli Yote Haya Hapa

4382291
10737
924
00:07:11
12.07.2020

FT:SIMBA 4-1 YANGA Magoli Yote Haya Hapa

SHABIKI WA SIMBA AMWAGA MACHOZI KISA SIMBA KUFUNGWA NA MAYELE "KIKOSI GANI HIKI"

187697
1058
351
00:02:16
13.08.2022

Kwenye mchezo wa ngao ya Jamii Leo kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC mchezo uliyochezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Yanga SC amefanikiwa kupata ushindi wa magoli 2-1.

MATUKIO TISA MUHIMU: YANGA SC 0-1 SIMBA SC (TPL – 16/2/2019)

1601165
2784
356
00:08:18
16.02.2019

Wekundu wa Msimbazi Simba SC imewatetemesha watani wao wa jadi Yanga SC kwa kuipa kipigo cha bao 1-0 katika mchezo mkali uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa dar es Salaam. Bao pekee la Simba limefungwa na Meddie Kagere dakika ya 71 kwa kichwa akimalizia krosi ya John Bocco na kuamsha shangwe za kutosha kwa mashabiki wa timu hiyo waliofurika ndani ya Dimba la Taifa. Katika mchezo huo paulikuwa na matukio mengi ya kimchezo yaliyokuwa kivutio, hapa tumekukusanyia matukio tisa muhimu yaliyojiri kwenye mchezo huo zikiwemo kosakosa za kila upande, jaribio la kutumia mkono kufunga goli lililofanywa na Amissi Tambwe, mbwembwe za Meddie Kagere alipofanyiwa mabadiliko bila kusahau goli lenyewe.

Vita kamili kati ya Mayele vs Inonga | Yanga 0-0 Simba | NBC PL 30/04/2022

461385
1582
315
00:04:38
30.04.2022

YANGA VS SIMBA: Palikuwa na vita kali kati ya straika wa Yanga, Fiston Mayele dhidi ya beki wa Simba, Hennock Inonga Baka, lakini baada ya mchezo, amani ilitawala. Tazama mambo yalivyokuwa. FT: Yanga 0-0 Simba.

Pasi 26 high accurate zilizopigwa na Yanga Vs Simba bila kupotea/ Usisahau kubonyeza subscribe

32419
63
7
00:01:25
05.10.2021

Baadhi ya matukio ya passes zilizopigwa na Timu ya wananchi zilionyesha utulivu wa hali ya juu wa kikosi Cha Yanga.

TAZAMA SIMBA na YANGA WALIVYOINGIA UWANJANI, UWANJA ULIVYOFURIKA JEZI NYEKUNDU na NJANO...

8429
41
2
00:08:30
30.04.2022

TAZAMA SIMBA na YANGA WALIVYOINGIA UWANJANI, UWANJA ULIVYOFURIKA JEZI NYEKUNDU na NJANO... Tazama hapa Drone Video wachezaji wa vikosi vya simba na yanga walivyowasili uwanjani kwa ajili ya kuvaana kwenye mchezo wa ligi kuu bara. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

Yanga walivyokabidhiwa Ngao ya Jamii 2022 baada ya kuichapa Simba 2-1

148544
953
103
00:03:25
13.08.2022

KARIAKOO DERBY: Yanga wametwaa #NgaoYajamii kwa mara ya pili mfululizo wakiwafunga Simba 2-1 kwenye #KariakooDerby iliyopigwa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Mwisho wa mchezo ndivyo washindi Yanga walivyopokea Ngao yao ikiwa bado mpya kabisa.

Magoli | Ruvu Shooting 1-2 Yanga | NBC Premier League 03/10/2022

111476
753
71
00:03:57
03.10.2022

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya NBC, Yanga SC wamepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ruvu Shooting, katika mchezo uliopigwa leo kwenye Dimba la benjamin Mkapa, Dar es salaam. Magoli ya Yanga yamefungwa na Feisal Salum na Bakari Mwamnyeto kipindi cha pili wakati goli pekee la Ruvu likifungwa na Rolland Msonjo dakika ya 86.

Назад
Что ищут прямо сейчас на
Yanga na Simba session ale lemon hacks kirkcaldy 4k suman pariyr new dohori актаныш meeresfisch chocoblox 部活ONE mahmud bin quasim waz как бесплатно накрутить подписчиков в тик ток на пк firebase deeplink Dinesh Lal Yadav V Amar pali Dube 카이로타워 khorne К murana mo Nala bev bevan Black MIDI